Msaada kuhusu ulipaji ada 1st year UDOM

Msaada kuhusu ulipaji ada 1st year UDOM

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
422
Reaction score
205
Mambo vipi wadau
Nime print admission letter, tution fees Tsh 800,000
Direct cost 235,000
Mgawanyo upo vipi hapa tunaenda na pesa nusu kwa semista ya kwanza ambapo kwa tution fees ni laki nne au tunaenda nayo yote laki 8.

Help please

Tonny lee baby
 
Lazima haupo College of Health,haupo College of Engineering ...utakuwa kwenye zile nyingine zile
 
mambo vipi wadau
nime print admxxn leta tution fees tsh 800000
direct cost 235000
mgawanyo upo vipi hapa tunaenda na pexa nuxu kwa xemista y kwanza ambapo kwa tution fees n 4k au tunaenda nayo yotte lak 8

help pls

tonny lee baby

xxxxxxx Yani nikiona mtu ameandika katia haya ma X nakua na hasira sana.Nini maana ya kuandika hivyo?
 
Na wewe unajiita man of the year. Usitudhalilishe wanaume bana
 
Pia nami naomba msaada kuna mdogo wangu kamaliza chuo mud a degree na hakupata kazi wanafamilia tuliamua kukaa na kumlipia asome MSC in chemistry kachaguliwa udom, amechukia ADM letter hawajaonyesha fee structure na mchanganuo wake kwa hiyo coz
 
Uliwezaje kupata admission letter mimi kila nikijaribu inakataa. Nimejaribu kufuata instruction sijafanikiwa, msaada tafadhali
 
Mimekuxom axee kwaiyo pay ili kufany reg inatakiw niwe n kilo 4 + pexa y direct cost xi ndio???
 
Back
Top Bottom