Msaada kuhusu ujenzi

telfontelfon

Member
Jul 2, 2018
38
118
ivi ni gharama gani naweza tumia kumalizia nyumba ambayo ijawekwa tiles,rangi na mapambo
hvi wallapaper zinadumu kweli au
na pia rangi ina bei kiasi gani kwa jumla
 
ujenzi ni kidogo kidogo..umeulizia vitu karibia vitatu ambavyo vina garama zake tofauti ukiachana na ufundi , hizo material piga research nunu a weka ndani tafuta hela ya fundi..utafanikiwa
 
Back
Top Bottom