Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Habar wadau,
Napenda kupata ushauri juu ya ujenzi.je ni vitu gan na muhimu vya kuangalia ukitaka kujenga? Je kati ya tofali za kuchoma na tofali za BLOCK zipi ni bora zaidi? Nataka kujenga kanyumba flani cha kisasa ambacho ni simple, smart and sensible.
Bahati mbaya hata ramani bado sina ila nina kiasi cha fedha 25M kufanya ujenzi wote. Ushauri wenu tafadhali
 
Suala la tofali gani zuri nadhani la kuchoma ni nzuri zaidi since block likikaa sana lina expire. But hapa lazima uangalie budget yako na ulipo. Kwa mfano mtu wa Kilimanjaro ukimwambia atumie tofali la kuchoma ni very expensive kwani upatikanaji wake ni washida sana huwezi fananisha na mtu wa mbeya.
So angalia budget yako na eneo ulipo ndio uchague aina ya tofali.
25m kama unakiwanja nadhani unaweza ukajenga Nyumba simple na finishing ukatumia materials za bei rahisi
 
Mwenyew nipo katika harakati za kujengaIkulu yang ndogo njoo tushauliane tupeane mawazo
 
Suala la tofali gani zuri nadhani la kuchoma ni nzuri zaidi since block likikaa sana lina expire. But hapa lazima uangalie budget yako na ulipo. Kwa mfano mtu wa Kilimanjaro ukimwambia atumie tofali la kuchoma ni very expensive kwani upatikanaji wake ni washida sana huwezi fananisha na mtu wa mbeya.
So angalia budget yako na eneo ulipo ndio uchague aina ya tofali.
25m kama unakiwanja nadhani unaweza ukajenga Nyumba simple na finishing ukatumia materials za bei rahisi
Ushauri mzuri sana huu
 
Back
Top Bottom