Yeah uku akuna usumbufu kabisaUkitumia PC utaenjoy zaid, nadhani sim inazidiwa uwezo(sina hakika) ila kama hauna access ya kuapply kwa kutumia PC no way out just proceed
Hiyo sababu haina uzito wowote,ingekua hiyo ndo sababu ata was ingekua n yes na kwa malipo yamepolewa,jaribu internet yenyewe kasi na browser pia jaribu kubadil badiliHii inaweza kuwa sababu labda ,ngoja J3 ntawatafuta,
Malipo yako yatakua bado hayajathibitishwa bado yakishathibitishwa tuu zitakua activeWadau Naombeni masaada napitia chamgamoto katika kufanya maombi ya kujiunga na mwaka Wa masomo 2018/19 nimefungua account vizuri hadi nikalipa pesa ya maombiTsh 10,000/_ kupitia vodacom na nikajuzwa malipo kupokelewa ,Sasa shida ni kwamba zile stages zote zinazofuata hazifunguki ,Ila ya mwisho tu ya preview iko active ,zingine zote ziko inactive,hivyo nashindwa kuendelea na maombi,Msaada tafadhari kwa mwenye kujua/kakutana na case kama hiyo.
Hakuna attachment but ni kuweka namba zako za mitihani tu.Hapo hapo wadau,kuna kipengele cha Attachments,Aliyesoma TZ form 4&6 na matokeo ameya_upload kwenye huo mfumo attachments zinamuhusu?huwa siwaelewi hapo,msaada pls...
MWAMBIE AWAPIGIE SIMU WATAMSAIDIA VIZURI TU NA KUMPA MAELEZO YA KUTOSHA ATAFANIKIWA TUMkuu kuna dogo anafanya application sasa na yeye imemtokea hii, itakuaje sasa??