Msaada kuhusu uchovu na ulaji wa chakula

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Msaada doctor nataka niulize mara nyingi baada ya kupata kufungua kinywa I mean breakfast na hata chakula cha mchana nikila lazima niwe na uchovu Sana na hata kulala sijajua kuna uhusiano gani nisaidieni madaktari
 
Mara nyingi watu wenye tatizo la sukari ndio wenye matatizo Na dalili kama hizo. Hutokea ukinywa chai. Mazoezi ni tiba Na kuepuka vyakula vyenye sukari
 
Mara nyingi watu wenye tatizo la sukari ndio wenye matatizo Na dalili kama hizo. Hutokea ukinywa chai. Mazoezi ni tiba Na kuepuka vyakula vyenye sukari
Sijawahi pima kisukari ila nimekuwa nikichoka Sana ninapofanya physical work na ninaweza lala muda mrefu sana
 
nakushauri kafanye vipimo vya damu,, inawezekana una upungufu wa damu mwilini, jenga mazoea ya kufanya zoezi hasa mazoezi ya kutembea km 30min to 1hr mara tatu kw wiki , inaondoa uchovu
 
Msaada jamani, mimi nimekua nikikosa hamu ya kula na hata nikiwa na njaa sana nikikiona tu chakula basi hamu yote na njaa vinakatika. Nini tatizo na nn suluhisho?
 
Msaada doctor nataka niulize mara nyingi baada ya kupata kufungua kinywa I mean breakfast na hata chakula cha mchana nikila lazima niwe na uchovu Sana na hata kulala sijajua kuna uhusiano gani nisaidieni madaktari

Stop over eating..ukila kupita kiasi lazima uchoke na kuhisi usingizi...au inawezekana uzito wako ni mkubwa sana kama ndivyo punguza uzito
 
Back
Top Bottom