Kwanini asiende hapo hostel akauliza wahusika? Usomi Gani huu usiokuwa na uelewa? Kama anaishi Mabibo hostel maana yake anapita Kijazi interchange Kila akienda udsm,ni umbali Gani toka kijaz inter.hadi hostel za Ubungo.Haya siku hizi Kuna simu ,hata hiyo kashindwa? Elimu Gani hii ya kipumbavu!