Toa sababu za kitaalam mkuu,kuthibitisha usemacho!Hilo gari halifai kabisa. Nunua escudo tu.
Muongo huyoARV ukitumia vizuri no pombe kali,no maambukizi mapya,chakula safi,mazoezi kidogo. Utadum sana mkuu. Usiwakatishe tamaa bure.Mkuu maneno makali na unyanyapaa huo wenzako wanatumia dawa kwa kujua watapona wewe unasema hata akitumia ARV anakufa soon
Nakubaliana na wewe mkuu,tena ikishaanza kubadilisha mlio ndo microfon test ujue kazi ndo imeanza..Xtrail sio gari nzuri,zinaharibika sana injini. Tatizo lao kubwa ni injini,cylinder head zake zinawahi kuharibika na kuchanganya. Sikushauri mkuu ununue xtrail. Nunua gari nyingine ila xtrail utakuja nambia.
Sorry, ni gari wanazonunua wasio na uzoefu wa magari.Nina gari wanazonunua wasio na uzoefu wa magari hasa akina mama. Kwa mtu ambaye anayajua magari vizuri hawezi kununua gari hiyo, hasa ukizingatia mazingira ya kwetu.
Hizo gari ni very smooth, zinataka lami. Hazipendi mikikimikiki. Kama ulivyoambiwa, zinataka maintenance ya Mara kwa Mara, vinginevyo itakushinda.