Msaada kuhusu ubora,uimara wa nissan x-trail

Kwa ujumla nissan ni.nzuri kama ni mpya ila used utalia si muda mrefu. Ni mzuri sana miguuni ila injin bomu. Wengi unaowaona wamejaa kwenye hizo gari wameweka injini za.rav4. Kama utakubaliana na kuweka injini nyingine nunua. Injini bomu sana kaka ndio maana bei zake down

MKUU sio kweli bana engine za Nissan ziko POW sana ujue wabongo tunatumia magari vibaya na mwisho wa siku tunazingizia magari mabovu.

sum kubwa na ugonjwa MKUBWA WA engine ya Nissan ni kuchemsha tuu nakutokana na wabongo wengi kuwa hatujui kutumia gari vizuri unakuta MTU anaendesha gari hata haangalii kwenye dash board gauge inasomaje yy nimambio tuu.
gari inachemsha mpaka Inazima sasa hapo unategemea nini??
gari ikisha chemsha kuifanyia sasa malekebisho ndio msiba MKUBWA maana bei ya SPEA zake imesimama balaaa .ndio maana wengi wao huishia kukimbilia kwenye engine ya RAV 4 ya 3s .MKUU unabisha sasa hapo mbovu mtumiaji au gari??
na hili nitatizo kubwa sana
 
MKUU unatuletea mambo ya RAV 4 3s zishapitwa na wakati hizo mkuu.engine za miaka ya 90 huko unatuletea Leo??
 
MKUU sio kweli bana engine za Nissan ziko POW sana ujue wabongo tunatumia magari vibaya na mwisho wa siku tunazingizia magari mabovu.

sum kubwa na ugonjwa MKUBWA WA engine ya Nissan ni kuchemsha tuu nakutokana na wabongo wengi kuwa hatujui kutumia gari vizuri unakuta MTU anaendesha gari hata haangalii kwenye dash board gauge inasomaje yy nimambio tuu.
gari inachemsha mpaka Inazima sasa hapo unategemea nini??
gari ikisha chemsha kuifanyia sasa malekebisho ndio msiba MKUBWA maana bei ya SPEA zake imesimama balaaa .ndio maana wengi wao huishia kukimbilia kwenye engine ya RAV 4 ya 3s .MKUU unabisha sasa hapo mbovu mtumiaji au gari??
na hili nitatizo kubwa sana

Kwanza Umekataa kisha umekubali hapo kwenye " ugonjwa mkubwa..."
 
mwaka wa pili huu haijazingua wala kunikera hili gari.. {siyo langu... la bosi} hadi yeye bosi anaona kama mstaarabu kumbe hadi chaka naingia nalo..i love it kwa kweeli!!!
 
hahaha una chepuka nako!!!!
 
Kwanza Umekataa kisha umekubali hapo kwenye " ugonjwa mkubwa..."

mkuu hujanielewa nahisi mimi nimekwambia kuwa gari za nissan ziko powa sana ila huo ubovu unao usema wewe ni tatizo tunalolitengeneza /sababisha wenyewe

haiwezekani ww ukatembelea gari bila maji au feni hazifanyi kazi then gari ichemshe uje ulalamike kuwa gari ni mbovu.hapo ni mbovu ww mtumiaji sio gari.

nakuna mtu naona eti kachangia kuwa nissan zina cynder head ya aluminium na gari zingine za toyota ni casti ni kwamba hayo magari yenye silinda head ya kasti kama hiyo rav 4 mnayo isifia nimagari yakizamani sana ya miaka ya 90 gari zote zinazotoka sasa hivi head zake ni aluminium hapo hakuna ubishi.
hivyo hiyo point ya kigezo cha head ya aluminium haina mashiko
 
Mkuu X-TRAIL (SIMTANK)ni ugonjwa wa moyo maana ikianza kuzingua ni kama mtu aukwae UKIMWI utampoza na ARV lakini karibuni mtamzika tu. Ni zuri machoni na mlio/mngurumo wake lakin balaa ni pale likudodee
 
Inawezekana Nissani ikawa mzuri sana kama unavyosema kutegemea ya mwaka gani au niseme upya wake...Lakini kufananisha na Rav4 na kusema ni mbovu unakosea.
Umerudia zaidi ya mara moja kusema za miaka ya 90,sijui ndio ufahamu wako huo au umejusudia kuwapotosha wengine...
Toyota Rav4 wana magari ya kisasa kabisa ambayo mengine yanatumia engine za 2AZ. sasa ukisema ni 3s kanakwamba zote ndivyo zilivyo unakosea.
 
Jamaa zangu wawili nawajua wana hayo magari ila kwa jinsi yanavyowatesa kwa masuala ya engine nadhani kuna ukweli kwamba sio mazuri..huyo mmoja kwa zaidi ya miezi mitatu kalitelekeza kwa mafundi wa kichina pale daraja la jkt..huyo mwengine yupo iringa ila kila siku ananisumbua nimuulizie bei za vipuri huku Dar..
 
Pia safari za shell zitakuwa zakutosha ndugu kama kamshaharakako ni chini ya dolla 1nunya vits tu.
 
Xtrail ni gari nzuri tu, very durable, fuel consumption nzuri na imetulia. Nissan zote spares zake ni ghali kuliko toyota lakini ukifunga unasahau. Gari yeyote ukiifanyia service inavyotakiwa haitakusumbua. Mi natumia hii gari first generation T30. Mpya ni T32 lakini hizo ni expensive
 
Ni gari nzuri kwa speed lakini engine na transmision ni balaa tupu.halafu zina ndoa ya kikiristo ikianza kusumbua hupati mteja.mie ilibidi niuze kama scrapper.engine inachanganya maji na oili ukitoka hapo automatic transmission yake na yenyewe shida tupu.jaribu utawajua mafundi wote kuanzia engine,ac,radiators nk
 
Alafu kitaa walionazo hizi inshu wanazipush sn kwenda kwa wengine. Nahisi kuanza kuzistukia
 
Ni gari nzuri kwa speed lakini engine na transmision ni balaa tupu.halafu zina ndoa ya kikiristo ikianza kusumbua hupati mteja.mie ilibidi niuze kama scrapper.engine inachanganya maji na oili ukitoka hapo automatic transmission yake na yenyewe shida tupu.jaribu utawajua mafundi wote kuanzia engine,ac,radiators nk

mbona hilo cyo tatizo kwa fundi wa uhakika na genuine spares
 
Mkuu X-TRAIL (SIMTANK)ni ugonjwa wa moyo maana ikianza kuzingua ni kama mtu aukwae UKIMWI utampoza na ARV lakini karibuni mtamzika tu. Ni zuri machoni na mlio/mngurumo wake lakin balaa ni pale likudodee

Mkuu maneno makali na unyanyapaa huo wenzako wanatumia dawa kwa kujua watapona wewe unasema hata akitumia ARV anakufa soon
 
Ni gari nzuri kwa speed lakini engine na transmision ni balaa tupu.halafu zina ndoa ya kikiristo ikianza kusumbua hupati mteja.mie ilibidi niuze kama scrapper.engine inachanganya maji na oili ukitoka hapo automatic transmission yake na yenyewe shida tupu.jaribu utawajua mafundi wote kuanzia engine,ac,radiators nk

Katika comments zote nilizopitia hii ni kali, eti ndoa ya kikristo!!! hadi kifo kiwatenganishe!!! Baada kutenganishwa na kifo cha hiyo X-Trail ukaiuza kama scrapers, ulifunga ndoa na gari gani tena mkuu? Hiyo unauhakika siyo kama ya kwanza?
 
Tatizo mswahili ananunua gari kwa usd 4k ambayo anayeuza amenunua kwa usd 30k miaka 10 iliyopita. Mswahili anaitumia miaka mitano bado anataka kuuza usd 4k. Uza dola 2k uone kama itakaa hata siku 2
 
Back
Top Bottom