SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Nilinunua TV aina ya LG (LED) 47 Inch tokea mwaka February, 2012. Nimeitumia vizuri tu lakini ilipofika March 2013 ikaanza ugonjwa ambao mpaka leo unaendelea.Ukiiiwasha na kutumika kwa muda kama wa masaa mawili, inakata picha ila sauti inaendela kama kawaida. Ukiizima na kuiwasha, inaonesha kama kawaida. Wakati mwingine hukatika hata baada ya nusu saa. Naombeni msaada wenu:
1. Tatizo nini ni?
2. Hapa Dar ninaweza kuipeleka kwa mafundi gani wakaitengeneza vizuri ukichukulia kuwa kipindi cha guarantee (mwaka mmoja)kilikwishapita.
1. Tatizo nini ni?
2. Hapa Dar ninaweza kuipeleka kwa mafundi gani wakaitengeneza vizuri ukichukulia kuwa kipindi cha guarantee (mwaka mmoja)kilikwishapita.