Msaada Kuhusu TTCL

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Wakati Mtandai wa simu TTCL unahamià Katika simú za Mkononi walsema wao wanatoa huduma kwa njia ya 3G na 4G hivyo wateja wenye simu ambazo hazina uwezo huo hawatapata mawasiliano. Yaani kama una ki simu kidogo cha tochi au ki tecno na Vibata vuzi vingine huweti tumia kwa line ya TTCL na kweli ilikuwa hivyo

Unfortunately saivi naona watu wanatumia TTCL kwa visimu vidogo ambavyo havina 3g/ 4g.
Nà cha kushangaza pia simu zao zinaonesha wanatumia TIGO badala ya TTCL

Je hii maana yake ni nini??
Wenye ufafanuzi pls
Cc:- Chief Mkwawa
 
 
Kwa sasa TTCL mobile,inapatikana nchi nzima popote pale penye network ya Tigo! (Wana fanya Roaming kama vile wakati Zantel walivyoanza wakati wanakuja Tanzania Bara kwa kutumia Vodacom) hii itakuwa kwa Muda wakati TTCL inajenga minara yake yenyewe kukover nchi nzima.sasa wanapatikana kuanzia 2G to 4G.hivyo basi turudi nyumbani kwani kumenoga tena ile mbaya....kuna huduma nyingi tu zinakuja hivi punde ambazo akuna mtandao wowote mwingine unazo hapa nchini,so wai line yako leo usije siku ukajutia hii fursa ya laini za bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…