Msaada kuhusu transfer nacte

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wanajamvi unapoingia kufanya transfer online koz unayoitaka usipoikuta na hela umelipa inakuaje?Au unaoneshwa kwanza koz zilizo wazi ?naombeni msaaada tafazari
 
ndugu kwa uelewa wng mdogo ni hv ukitaka kufanya transfer iwe tcu au nacte utakuta kozi ambazo bado zina nafasi chuo usika ndio unaweza kuomba kama kozi unayotaka aipo na uliisha lipia ndio imetoka hvyo uludishiwi cha kufanya hapo omba kwa kozi nyingine kwenye chuo ulichokuwa unataka akikisha una vigezo vyote kwa iyo kozi ukipata nafasi ukifika chuo husika omba nafasi ya kuama kozi kwenda uliyokuwa unataka kama nafasi zitakuwepo ila sijajua kama vyuo vyote wanakubali japo baadhi vinakubali
 
mkopo ni hivi ukihama chuo ni lazima ufatilie maana heslb awajui kama umehama mpaka wapate taarifa zako toka tcu kwamba umehama pia ukifika chuo ulicho hamia mtafute loan officer hapo chuoni mpe infomation kwamba umehama chuo atakusaidia uelewa wangu ndio huo
 
Back
Top Bottom