bright pledge 255
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 140
- 172
Nime apply for transcript sasa nikawa nimekosea kuweka passport size, yaani ilikuwa na ukubwa uliozidi sasa NACTE wakanitaarifu nibadilishe passport, nimeingiza details zangu sijaona ile sehemu ya kuweka passport .
Msaada kwa wenye uzoefu tafadhali
Msaada kwa wenye uzoefu tafadhali