Msaada kuhusu Tigo, Voda rusha nk

lamisa

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
219
211
Habari za Ijumaa wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.

Nimependwezwa na biashara hii ya tigo na vodarusha ila ningependa kujua vitu vichache kama ifutavyo:-

1. Mtaji mzuri kwa mtu ambaye ndo ananza kama mimi.

2. Faida yake ikoje,mfano ukimrushia mtu 1000 hivi kwenye tigo rusha.

3. Kuhusu kuweka salio kwenye simu ya Tigo rusha na mengine mengi ambayo yanatanisaidia kwenye hii biashara yangu waku.

Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom