Msaada kuhusu tendo la ndoa baada ya kujifungua

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
313
Wangwana kuna rafiki yangubkaniuliza suali hili:-

Mke wake amejiifungua kwa kawaida ila njia ilikia ndogo akaongweza na akashonwa vitango 7.

Hadi sasa ni siku ya 20 mwanamke alizuiya damu siku ya 5 baada ya kujifungua sasa anataka kurudi kwake.

Jeee akirudi kwake na kila mtu atakua na ukame jeeee uke wake utakua salama kufanya mapenzi

Na akichuchumaliwa wakati wa kula ipande cha mwili mshono hautikuja kuachia?

Natanguliza shukrani.
 
Umenikumbusha mwanangu wa kwanza Junior mama yake alijifungulia kwao Tabora na tulikuwa tuna miezi 6 toka tuonane nilikuwa nje kikazi niliporudi alikuwa na mwezi 1 toka ajifungue nilipofika usiku alilazimisha hadi alilia nilikuwa naogopa maana mtoto alikuwa Mkubwa aliongezwa njia ilikuwa poa ila ni pole pole sana
 
Wangwana kuna rafiki yangubkaniuliza suali hili:-

Mke wake amejiifungua kwa kawaida ila njia ilikia ndogo akaongweza na akashonwa vitango 7.

Hadi sasa ni siku ya 20 mwanamke alizuiya damu siku ya 5 baada ya kujifungua sasa anataka kurudi kwake.

Jeee akirudi kwake na kila mtu atakua na ukame jeeee hiii papuchi itakua salama kumeza mgegedo?

Na akichuchumaliwa wakati wa kula ipande cha mwili mshono hautikuja kuachia?

Natanguliza shukrani.
kwani nyuzi zimeshapoka kaka unataka uanze kuzifumua mapema hivi? wenzako majira kama haya hata hamu huwa inaondoka tunamuwaza mtoto tu ambaye ni mgeni mpya kwenye familia. mbunye hiyo tutaanza kuiwaza baada ya siku 90 (three months) apo mama anakuwa ameshakauka, hakuna damu tena na vidonda vimepona walau. subiri walau siku 100 mwenzako apone, walau ile bleed ikianza (ambayo wakati mwingine hadi miezi miwili haiji) ndio muanza kuingiza walau kichwa tu. ukifanya mchezo kizazi kiko wazi hapo atapata mimba wakati huyo kichanga ana miezi mitatu tu. kuwa na subira pia uwe na huruma na mwenzako.
 
Normal inakuwa angalau 2 month, kidonda kinakuwa kimepona na nyuz zinakuwa karibu zote zimedondoka then you can enter slowly
 
kwani nyuzi zimeshapoka kaka unataka uanze kuzifumua mapema hivi? wenzako majira kama haya hata hamu huwa inaondoka tunamuwaza mtoto tu ambaye ni mgeni mpya kwenye familia. mbunye hiyo tutaanza kuiwaza baada ya siku 90 (three months) apo mama anakuwa ameshakauka, hakuna damu tena na vidonda vimepona walau. subiri walau siku 100 mwenzako apone, walau ile bleed ikianza (ambayo wakati mwingine hadi miezi miwili haiji) ndio muanza kuingiza walau kichwa tu. ukifanya mchezo kizazi kiko wazi hapo atapata mimba wakati huyo kichanga ana miezi mitatu tu. kuwa na subira pia uwe na huruma na mwenzako.
Zamani ilikuwa mke anakwenda kujifungulia kwa wakwe zake na anakaa huko mpaka mtoto afikishe miezi mitatu/minne mlifikiri walikuwa wajinga? Ukiona huwezi kustaamili ukishajifungua kabla hujarudi nyumbani muombe nurse ushauri wa family planning.
 
Wangwana kuna rafiki yangubkaniuliza suali hili:-

Mke wake amejiifungua kwa kawaida ila njia ilikia ndogo akaongweza na akashonwa vitango 7.

Hadi sasa ni siku ya 20 mwanamke alizuiya damu siku ya 5 baada ya kujifungua sasa anataka kurudi kwake.

Jeee akirudi kwake na kila mtu atakua na ukame jeeee hiii papuchi itakua salama kumeza mgegedo?

Na akichuchumaliwa wakati wa kula ipande cha mwili mshono hautikuja kuachia?

Natanguliza shukrani.
Maaaama wee he yani ndio mambo hata ya kuuliza hayo huo mzingo nakuambia ausubule mbona unataks kuua wewe!!
 
Yaan umeufanya mwili wangu wote usisimuke kadili nilivyokuwa naendelea kusoma thread yako...

itanichukua muda kushiriki na mpenz wangu kwa sasa, maana nimepatwa na uoga
 
Back
Top Bottom