Tupiamo ka chapi!
Niwekee link mkuuNjia rahisi ya kujua uzuri au ubaya wa hiyo gari ni kuangalia kupitia kwenye mitandao.
Wateja huwa wanaweka comments mbalimbali kuhusiana na gari husika.
Niwekee link mkuu
Wakuu, heshima kwenu
Hii gari nimeitamani sana na nilikuwa nimefikia hatua ya kuilipia maana invoice tayari wamenitumia. Ni kupitia tradecarview
Katika kupitia kwenye mitandao, kuna maoni tofauti tofauti wengine wakisema ni gari nzuri huku wengine wakiiponda na kusema ni laini mno na zinachoka haraka
Naomba wenye uzoefu wanisaidie mapungufu makubwa ya aina hii ya gari na faida pia. Ina cc 2700 na km 98000. Matumizi yangu ni mjini mara nyingina labda mara moja sana kwa mwaka kwenda kijijini
Naombeni msaada ndugu zangu
Kumiliki gari sio masifa au anasa, kama unataka kununua gari kwa mara ya kwanza, lazima ujiulize kwa nini unataka gari, je kwaajili ya kukoga wenzio? au kwaajili ya Totoz? au kwasababu jirani yako nae kanunua gari? je nikwaajili ya kukurahiishia kufika kazini au kwenye biashara yako na kurahisisha shughuli ndogo ndogo za hapa na pale?
Mazingira unayo kaa pia yakuangalia ( barabara). Pia ujue kuwa kuna service, kubadili tires, Mafuta, na dharura za barabarani.

mkuu ingia "japanese used car view&sales"