Simu yangu ni huawei y 530, lakin tatizo linakuja ninapo taka kudowload apps mbali mbali inaniambia storage capacity ni ndogo wakat space ipo kubwa tuu..., nifafanyeje wakuu kuondoa hii kero?