Msaada kuhusu sisi tuliolipa hela kupitia NACTE inakuwaje?

jimmyb

Member
Jul 20, 2016
20
3
samahani jaman msaada plz mim nataka kuendelea na degree nililipa pesa yangu nacte kabla hawajasema tunatakiwa kuaply TCU je kuna tamko lolote limetolewa kwa sisi tuliolipia nacte au ndo pesa imeliwa???
 
Wakuu na mm nmelipiaa kla kitu ila awaja nitumia username na password katk email yang toka jana na ukizingatia cjafanya machaguo bado... Msaada pliiz
 
samahani jaman msaada plz mim nataka kuendelea na degree nililipa pesa yangu nacte kabla hawajasema tunatakiwa kuaply TCU je kuna tamko lolote limetolewa kwa sisi tuliolipia nacte au ndo pesa imeliwa???

Kwanza sio kweli kuwa NACTE wamesema mnapaswa ku apply kupitia TCU, pili hakuna hela yako imeliwa kama una sifa za kuchaguliwa, Tatu walichosema NACTE ni kuwa kwa wale waliomba degree majadiliano yanaendelea baina ya TCU na NACTE kuona itakuaje baada ya kanuni kubadilishwa katikati ya mchezo! So, hang on!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom