nancykisinda
New Member
- Sep 11, 2013
- 3
- 0
jamani ukitaka kujua samsung origiona unafanyaje nisaidieni kujua
jamani ukitaka kujua samsung origiona unafanyaje nisaidieni kujua
unaenda setting then about unaangalia baseband version kwenye mchina itaanza na neno maui kama inavyoonesha picha
![]()
ikiwa original baseband inakua aina ya simu kama inavyoonekana hapo chini
![]()
cha muhimu ni hicho
mchina baseband inaanza na maui original ni aina ya simu