Msaada Kuhusu simu ya HTC beats audio.

Msaada Kuhusu simu ya HTC beats audio.

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
Wadau Kuna simu hapa Nataka kununua aina Ni HTC audio Beats But kinachonitia mashaka ni Double Line naomba mnielekeze Kuhusu hii simu je kuna Double na single line Na bei yake dukani ni SH ngapi? Asanteni
 
mkuu haina namba hiyo simu zipo htc sensation nyingi zina beats audio so hio haitoshi kutuambia sisi ni simu gan then pia ungesema na bei unayouziwa.

Kwa kua original mkuu inatakiwa hio simu iwe android then iwe touch screen. Nenda menu then setting then about kujua kama simu ni android pamoja na kusoma namba ya simu
 
Wadau Kuna simu hapa Nataka kununua aina Ni HTC audio Beats But kinachonitia mashaka ni Double Line naomba mnielekeze Kuhusu hii simu je kuna Double na single line Na bei yake dukani ni SH ngapi? Asanteni

Mkuu Taja madel yake hapa tuweze jua kama inakuja na beats earphones...kumbuka hiyo beats sio model ya simu.
 
daaaa ebhna pouwer nitaweka model soon Lakini ni touch screen fresh Je Swali Langu Kuna SMart phone inaweza kuwa na Double Line.
 
Kuwa mwangalifu...simu za double line nyingi ni feki!! Kuhusu bei inabidi useme ni model ipi sababu simu nyingi za htc zina beats audio
 
Back
Top Bottom