Utulivu wakisiasa,hapo sidhani kama utapata ambacho unakitafuta.kitu cha kwanza muulize mhusika anataka kufanya shughuri zipi ambazo utaona zina ambatana na fani ipi?ndo umpeleke ila siyo wewe unauliza ili um-4ce akasome wadau walicho kushauri hapana.kwanza mpe nafasi atulize kichwa na matusi yakumtukana kuwa amepoteza ada bure hapana.mambo ya mitihani yanamambo mengi pia mtie moyo afungue ukurasa mpya ila usimfanye awe na mawazo bali mfanye kuwa Rafiki kwakipindi hiki.atakwambia anacho penda fanya sasa maamuzi.pia naamini hili jukwaa lina watu wenye mtazamo chanya zaidi watakupa 2,3..jazia nyama dogo asonge mbele.SIYO KU-FELI NDO MWISHO WA MAISHA HAPANA.