Hujaza Kibaba
Senior Member
- Sep 5, 2019
- 105
- 117
Nimefata hizi hatua mkuu ila bado, inaonesha tu connecting then inaacha bila kuconnectAnzia hapa kwanza kwenye website ya LG.
Product Support: Help Library | LG USA Support
Browse articles about LG product repair information, installation guides, troubleshooting, how-to-use and other useful tips for your LG appliances and devices.www.lg.com
Sawa, mkuu uzuri kuna samsung karibu nitajaribu na kukupa mrajaa, wifi ni ya nyumbaniHiyo TV na simu zinatumia wifi network moja na network ya nyumbani sio ofisini? Pia hakikisha TV umefanya update yakishindikana hayo jaribu simu tofauti hasa Samsung na Swart View.
Kuna namna mbili za kucastHabari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo
Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550)
Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W
Serial no : 001EGVJML759
Manufactured January 2020
Nahitaji msaada namna ya kufanikisha 'screen casting' kwa kutumia simu ya android ambayo inasupport Chromecast na huwa naconnect direct kwa Tv kama TCL lakini kwa Tv kama Hisense na Mewe huwa natumia app inaitwa 'All mirror - screen mirroring' bila changamoto ila leo kwenye hiyo Tv ya LG zoezi limegonga mwamba nimejaribu sana bila mafanikio, nahitaji msaada wenu wajuzi
Nashukuru sana mkuu naomba nifanyie kazi maelekezo haya kisha nitarudi hapa kukupa mrajaaKuna namna mbili za kucast
1. Dlna based service itahitaji vifaa viwe on same network, ni njia rahisi ambayo vifaa vyote vya kisasa vinakubali
2. Miracast based services kama wifi direct, Chromecast etc hii si kila kifaa kinakubali.
Anza na njia ya juu, download kwenye simu yako web video caster halafu ingia store ya lg download same app fuata maelekezo ita cast. Uzuri wa njia hii una cast hali ya kuwa unaendelea na mambo mengine kwenye simu ubaya wake ni kwamba ina cast content tu, mfano video ila haicast simu yote kama menu, games etc
Link playstore
Web Video Cast | Browser to TV - Apps on Google Play
Cast movies, tv shows and live streams to Chromecast, Roku, DLNA, Fire TV & moreplay.google.com
Nje ya madaNashukuru sana mkuu naomba nifanyie kazi maelekezo haya kisha nitarudi hapa kukupa mrajaa
Aisee mkuu niseme Asante sana, jambo limeenda vizuri sana na naenjoy burudani tayari, hii comment yako naamini itakuwa useful sana Mungu akubariki mkuuKuna namna mbili za kucast
1. Dlna based service itahitaji vifaa viwe on same network, ni njia rahisi ambayo vifaa vyote vya kisasa vinakubali
2. Miracast based services kama wifi direct, Chromecast etc hii si kila kifaa kinakubali.
Anza na njia ya juu, download kwenye simu yako web video caster halafu ingia store ya lg download same app fuata maelekezo ita cast. Uzuri wa njia hii una cast hali ya kuwa unaendelea na mambo mengine kwenye simu ubaya wake ni kwamba ina cast content tu, mfano video ila haicast simu yote kama menu, games etc
Link playstore
Web Video Cast | Browser to TV - Apps on Google Play
Cast movies, tv shows and live streams to Chromecast, Roku, DLNA, Fire TV & moreplay.google.com
Kiukweli sijakaa nayo muda mrefu kuweza kuidodosa saana ila kwa muda mchache nilioiona na kuicheki cheki vitu kadhaa niliona ni nzuri tu ilikuwa 65" ileNje ya mada
Mewe ziko vizuri?
Shukrani kwa feedback mzee.Kiukweli sijakaa nayo muda mrefu kuweza kuidodosa saana ila kwa muda mchache nilioiona na kuicheki cheki vitu kadhaa niliona ni nzuri tu ilikuwa 65" ile
Mkuu mrejesho ni kwamba Samsung ni chap kwa haraka bila ubishi, shukrani sanaHiyo TV na simu zinatumia wifi network moja na network ya nyumbani sio ofisini? Pia hakikisha TV umefanya update yakishindikana hayo jaribu simu tofauti hasa Samsung na Swart View.
Unapata Burdan Tu, Unasahau Shida Zote PopoteMkuu mrejesho ni kwamba Samsung ni chap kwa haraka bila ubishi, shukrani sana