Msaada kuhusu sauti kwenye pc yangu

Msaada kuhusu sauti kwenye pc yangu

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Ni dell optiplex 390. Ni baada ya kuondoa windows 7 na kuweka windows xp. Picha inacheza ila sound haitoi na nyimbo pia. Nilipocheki settings nimegundua kuwa kwenye sounds and audio devices properties zote ziko fate (sina uhakika na kama ndo inaandikwa hivyo), ila maandishi yamefifia hivyo huwezi ku click na kuchagua chochote. Kwa upande wa device manager kuna sehemu tatu zina njano
PCI DEVICE
SM BUS CONTROLLER na
PCI SIMPLE COMMUCATIONS CONTROLLER

Naombeni msaada wakuu
 
vizur umeeleza tatizo vema, kwanza win xp uliotumia haikuwa na driver muhim zote. mf hizo za sound, hapo unahitaji upate drivers kwa ajili ya computer yako dell optiplex 390, zipo nyingi mtandaoni. nenda www.dell.

try this , download and install,

KCS 553874 - Using USB Headset on Optiplex 390 May Cause Recurring Echo

Nashukuru mkuu. BADO sijafanikiwa.
Nimeingia support - dell pc - diagnostics - symptoms - NO SOUND. Then nika run diagnostics, nika download but nilipojaribu ku run ikaandika 'THE APPLICATION FAILED TO INITIALIZE PROPERLY(0XC0000135). Click OK to terminate the application.
Msaada wako please
 
labda nikutoe wasiwasi naona unapresha mkuu, driver ni bure ukiwa unatumia product ya dell, nk, ngoja watakuja wataaluma zaidi
 
Next time kabla ya Kuweka new Windows hakikisha Drivers na software Muhimu unazo tayari!
 
Ni dell optiplex 390. Ni baada ya kuondoa windows 7 na kuweka windows xp. Picha inacheza ila sound haitoi na nyimbo pia. Nilipocheki settings nimegundua kuwa kwenye sounds and audio devices properties zote ziko fate (sina uhakika na kama ndo inaandikwa hivyo), ila maandishi yamefifia hivyo huwezi ku click na kuchagua chochote. Kwa upande wa device manager kuna sehemu tatu zina njano
PCI DEVICE
SM BUS CONTROLLER na
PCI SIMPLE COMMUCATIONS CONTROLLER

Naombeni msaada wakuu
jaribu hiki kiDriver kinasolve tatizo la 'no sound device installed' kwenye windows xp..
 
Attachments

Back
Top Bottom