Kwa mwenye uelewa anisaidie kuhusu Pc yangu ya Dell

Gaddy Fazzy

Member
Jan 16, 2021
90
125
Habari wana jamvi.....
Nina Pc yangu aina ya dell ilipatwa na tatizo gafla ambalo imekuwa changamoto kutatuka. Siku moja niliiwasha Pc yangu lakin cha kushangaza ukaja mwanga mweupe tuu. Nikazima nikawasha tena ikawa hivyohivyo kama awali, nikaanza kazi ya zima nikuwashe hola, lakini karibia mara kibao ikaja ikabahatika kutokuleta mwanga mweupe(yaan huoni chochote) na ikaleta mwanga wa window ila kuna maneno ikanielekeza kuwa strike f1 to continue nikafanya hivyo ikakubali. Sasa basi baada ya kutumia nikaizima ile nahitaji kuitumia baadae tatizo lile lile, ikabid niipeleke kwa fundi akailekebisha nimeitumia kama wiki tuu tatizo limerudi tena ,ndo imebid nije hapa jukwaani nipate kama kuna mtu yuko na utatuzi wa tatizo hili maana penye wengi hapakosi maarifa.
Ahsanten
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,001
2,000

Tatizo la RAM hilo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom