Chichmoore
Member
- Jan 30, 2013
- 85
- 25
Hali zenu wanajamii, Mm ni mhitimu wa Bachelor of science in software engineering. Nimekuwa interested sana na hardware programming, applications za robotics, mechanical na electronics. Nina mpango wa kufanya master degree ya robotics and mechatronics. Lakini kabla sijafanya maamuzi nakaribisha maoni, uchambuzi na ushauri. Karibuni sana.