Msaada kuhusu receiver za wiztech

Msaada kuhusu receiver za wiztech

kinakirefu

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
75
Reaction score
14
Mimi natumia receiver ya wiztech ila channel zimekata

naombeni msaada kwa anayefahamu
 
chanel gan ulizokua ukipata zimekata?
ungo gani ulonao, mkubwa ama vidogo?
 
Geuzia dish upande wa zuku juu kidogo utazipata kama unaongelea local channels
 
Back
Top Bottom