Wakuu heshima kwenu. naombeni porty number na proxy number za airtell ili niweke kwenye tablet yangu iwe na speed kubwa. kwa sasa haina porty number wala proxy number zozote na speed yake ni ndogo sana hata nikiwa kwenye 3G.
hiyo mkuu mbona umejidanganya? proxy number hazifanyi internet yako iwe faster. bali uwezekano wa kuijfanya iwe slow upo ikiwa hiyo proxy yenyewe ipo slow. hata kama proxy ipo faster lakini kama intenet yako ipo slow internet yako itabaki kuwa slow. jaribu kuangalia factors nyengine zinazofanya intenet yako kuwa slow
speed ya internet inategemea sana network coverage na ubora wa service provider bt kwa wireless connection number ya watu wanao acces net inadetermine speed ya net....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.