Habari za kazi wadau,nilikuwa najisajili katika mtandao wa PAYPAL kwa ajili ya manunuzi mbalimbali lakini kuna kipengele cha kujaza postal code,nilivyojaribu kuweka postal code ya mkoa wa mbeya nilipo kwasasa kutoka orodha iliyopo kwenye website ya TCRA,hizo code zimegoma.Hivyo naomba msaada labda kama kuna postal code zingine zinazotumika kusajili kwenye website ya paypal ambazo zipo tofauti na zile za TCRA. Au labda kama kuna mdau yoyote ambaye aliwahi jisajili na kufanikiwa basi anisaidie.