Jamani wana jf wenzangu nielekezei jinsi ya kutumia hilo neno pm ambalo linatumika humu.mana naona watu wanaitana pm sasa nashindwa kuelewa

ni pm password yako!
Jamani huyu bado junior member, mfundisheni basi na namna ya ku PM.
PM- Prime Minister
achen dharau mfundishen !