ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 300
Hivi ukiweka App yako playstore alafu ukapata downloads nyingi sana .... je unalipya per downloads???
hapana haulipwi per download unalipwa kama app ina matangazo, playstore ni soko tu kama soko la kariakoo sasa umeshaona wapi soko likamlipa mfanyabiasharaHivi ukiweka App yako playstore alafu ukapata downloads nyingi sana .... je unalipya per downloads???
At least mfanyabiashara alilipe soko!hapana haulipwi per download unalipwa kama app ina matangazo, playstore ni soko tu kama soko la kariakoo sasa umeshaona wapi soko likamlipa mfanyabiashara
Unalipya ndiyo kitu gani?Hivi ukiweka App yako playstore alafu ukapata downloads nyingi sana .... je unalipya per downloads???
hapana haulipwi per download unalipwa kama app ina matangazo, playstore ni soko tu kama soko la kariakoo sasa umeshaona wapi soko likamlipa mfanyabiashara
Per click Google hawalipi kizembe zembe mimi nashanga watu wanaosema youtube inalipaAsante sana mkuu, pia kwenye matangazo wanalipa both per views and per click....... au per click tu??
Kweli chief??Per click Google hawalipi kizembe zembe mimi nashanga watu wanaosema youtube inalipa
Sijafanya vyote, hapa ndio nilikuwa natafuta mawazo ya watu ili nijue kipi ni kipi.umefungua playstore account mwenyewe uka upload app au umegongea account ya mwengine?
Ndo hivyo mkuu hakuna mtu wakukulipa kwa view si watu wenye hayo makampuni watakula hasaraKweli chief??