Jemedal_bin_chichi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 542
- 585
Husikana na Headline naomba msaada kwa wataalamu wa masuala ya pikipiki na matumizi yake Je ni pikipiki gani inafaa kwa matumizi ya kazi (boda boda), maeneo ya mjini?
Na kwasababu gani iwe aina hiyo ulioitaja, pia nataka kumkabidhi mtu tuu, haita kuwa ikiendeshwa na Mimi mwenye nayo natanguliza shukran za pekee
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwasababu gani iwe aina hiyo ulioitaja, pia nataka kumkabidhi mtu tuu, haita kuwa ikiendeshwa na Mimi mwenye nayo natanguliza shukran za pekee
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app