Msaada Kuhusu pete ya uchumba.

Hahah hayo maneno huwa Yana access when penzi likiwa changa. ...watu huwa wanajiona kama wapo kwenye sayari mpya. .au wapo usingizini wanaota njozi tamu Hawa tamani hata kuamka

Usiombe watu wakulane. .wakisha kulana tu '' Mara mtu akipiga simu haipokelewi. ..Mara Akitumiwa text hajibu. .no caring kama awali. Full majanga -Mahusiano bwana dah! !
Sasa huku zaidi. [emoji23][emoji23]
 
Fact
Ila unaweza ukalibadili hili sababu unalijua
 
[emoji23][emoji23]Acha uchawi mkuu.
 
Umeni kumbusha ya vien diesel. .... kalala na mwanamke ' kisha akamtoroka. Dada wawatu alipo Kuja kuamka palivyo kucha. ..aka kutana na message. .Rule #1 don't fall
Hii inategemeana na mlivyokutana ntaiapply Kama ni one night stand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…