Ohoooo!!! Kibao kinageuzwa...ila kweli ulipotea bana nikawaza ngoja nikakusakalanye usiku wa manane, tafuta weeeee wapi bana nikahisi bwana mkubwa kakupiga marufuku ku log in ilibaki kidogo tu nikuibukie maskani aiseeUmenitupa sana.....sawa tu lakini.
Nyumbani unakujua kwanini usije kusalimia lakini?
Sawa mkuuSamahani naomba nifuate inbox nikuelezee. Nikuambie iliyo kweli according to neno na katiba ya kanisa
Na Mimi utanivisha Pete lini?
Hahahaha Fanya kweli basii..unataka nizeekeOooh.... Agata binti mrembo pekee nimpendaye JF
Yaani ni ww tu uniruhusu nije Sumbawanga kujitambulisha. Tufanye halaka tusije kuchelewesha watoto wetu watarajiwa kuanza shule.
Ohoooo!!! Kibao kinageuzwa...ila kweli ulipotea bana nikawaza ngoja nikakusakalanye usiku wa manane, tafuta weeeee wapi bana nikahisi bwana mkubwa kakupiga marufuku ku log in ilibaki kidogo tu nikuibukie maskani aisee
Hahahaha Fanya kweli basii..unataka nizeeke
Basi sawa kuanzia sasa hivi nitakua najiongezaAcha visingizio, uwe unapitia nyumbani....
Kupendwa rahaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰Siku zote huwa sipendi kutania kwenye mambo siriasi.
Kwenye moyo wangu tayari kuna tattoo isiyofutika ya jina lako, my luv jiamin.
Kupendwa rahaaaaa[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Na wanaume waone wivuNaomba tupendane zaidi hadi warembo waulizane.
Hii ya kurudi kundini kweli maana me Ni mlutheri..!! Vip Kubariki ndo na harusi tofauti yake ni nini?? Au tofauti ni kiimani zaidi lakini mavazi hata ya kuvaa siku ya sherehe kama shela yanafanana???
Waone wivu hadi washindwe kuuvumilia wivu wao.Na wanaume waone wivu
Una experience. .hongera itanibidi nije kuongeza ujuzi kwako
Natoka nje ya mada kidogo
Hicho ki night dress kimekutoa
Afu wewe [emoji23][emoji23]njoo tu
Can't wait aise
[emoji23][emoji23][emoji23]It won't be long aisee
[emoji16][emoji16]Basi nimeachaUsije nifanya nipige ukunga. ..watu waanze kunishangaa hapa. ...Huhuhu