Msaada Kuhusu pete ya uchumba.

Nashukuru mkuu[emoji120]
 
lengo la harusi ni nini wakati nyie ni wanandoa na mna mtoto tayari
Sasa mkuu mtu akishapata Mtoto haruhusiwi kufunha ndoa???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kwani hizo si sherehee tu au za kuhidhinishaa.
 
Mtoto ni wangu mkuu... tunafanana na wife wangu hana mambo mengi kabisaa..
 
Unaishi na huyo mama mtoto au mlipeana tuu ujauzito? maana kuna tofauti hapo. Kama utafunga ndoa na mama mtoto hiyo itaitwa kubariki ndoa na kama utafunga ndoa na mwanamke mwingine hiyo ni mnafunga ndoa harusi fresh.
Nilizaa nae ila sikuishi nae nabado tupo pa1
 
Fursa kwako kuchagua jema lenye uharalisho mbele ya jamii
 
Nadhani hii inafall katika category ya kubariki ndoa, process ni zilezile za kuanza na mahari
Kwahiyo naweza kutoa mahari nakumvisha Pete yauchumba, je nilazima nimvishe mbele yawazazi wake nandugu zake?
 
Aha Sawa mkuu naona siku ya mahari ndio imekaa poa kwaamaana hiyo itakuwa mbele yawazazi wake ndugu zake
 
Yaan bora utengwe na uongozwe sala ya toba tena, bila kufanya hivyo hiyo roho itakurudia tena, mtakuja kuzini tena na hiyo roho itakusumbua katika ndoa yako. Dhambi ni lazima itubiwe, fanya kumuona mchungaji tena mwambie akutenge
Doh!! Mkuu mbona hivyo tena, yaani nikaombe kutengwa ni sawa na jambazi kaingia kwako anataka kukuua lakini akakuacha halafu wewe unamfuata na kumwambia akuue tu.

Mkuu nishatubu hiyo dhambi na ninauhakika mwenyezi Mungu kanisamehe so haina haja tena kuomba kutengwa.

Nachotaka kujua tu labda mkuu ni kwamba si naruhusiwa kumuoa mzinifu mwenzangu na tukapata baraka za kanisa ama vipi?
 

MAHARI sio MAHALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…