Kwao wananifahamu na nilienda kujitambulisha baada ya kujifungua kuhusu mahari ndo bado mkuu...!! Duuh kumbe pete mpaka mahari nilipe[emoji23][emoji23][emoji23]Unasali kanisa gani? kwa sisi walokole hatunaga mambo ya kubariki ndoa yaan kama mmeshaishi au kuzini au kuzaa. Kama sio mpentekoste kuna kitu kinaitwa kubariki ndoa. Inakubaliwa. Cha kwanza nenda kwao binti ukatoe mahali then unamvika engagement siku ya mahali ( hii hata kama mmeshazaa), then ukimaliza mambo ya mahali nenda kanisa unalosali kwaajili ya process za kubariki ndoa.
Note: Anza kwenda kwao kwaajili ya kutoa mahali na kupewa fine za kumzalisha binti wa watu
Hii ya kurudi kundini kweli maana me Ni mlutheri..!! Vip Kubariki ndo na harusi tofauti yake ni nini?? Au tofauti ni kiimani zaidi lakini mavazi hata ya kuvaa siku ya sherehe kama shela yanafanana???Utambulisho kwanza Ila kuvishana Pete Ni mpk uwe umelipia mahari n kanisani ndoa unafunga Ila lazma urudi kundini wewe na mchumba wako
Kwao wananifahamu na nilienda kujitambulisha baada ya kujifungua kuhusu mahari ndo bado mkuu...!! Duuh kumbe pete mpaka mahari nilipe[emoji23][emoji23][emoji23]
Utambulisho kwanza Ila kuvishana Pete Ni mpk uwe umelipia mahari n kanisani ndoa unafunga Ila lazma urudi kundini wewe na mchumba wako
Ahaa nimeshaelewa mkuu ila Sherehe zote sendofd na harusi zinafanyika??Harusi means ni fresh hamjawahi kuishi pamoja but kubariki ndoa ni pale mmeshaishi au kuzaa then mnabariki ndoa ili iwe halali. Pia achana na anayekushauri eti uhairishe, ukiahirisha means utaendelea kuishi katika uzinzi. Bora ubariki ndoa ili uwe huru
Kwao wananifahamu na nilienda kujitambulisha baada ya kujifungua kuhusu mahari ndo bado mkuu...!! Duuh kumbe pete mpaka mahari nilipe[emoji23][emoji23][emoji23]
inaelekea ww hauendagi kanisani wala jumuiyaNapenda kuuliza jamani eti Utaratibu wa kumvalisha pete ya Uchumba mwanamke kama umezaa nae bila ndoa upoje??? Je lazima ndugu wawepo unapomvalisha au unawapa tu taarifa hasa wazazi kuwa nimepata mchumba na pete nishamvalisha bila wao kumuona physically na vip kuhusu kwenda kanisani maana me ni mkristo???
Pia vipi kuna uwezekano wa kufunga harusi kanisani wakati tuna mtoto tayari?? Nahitaji mwanga kidogo hasa wenye experience na hili suala zima.
huyu jamaa ni mweupe kwa kweli asubiri kidogoKama hujui vitu vidogo kama hivyo basi nikushauri usioe kwanza kausha walau mwaka mmoja zaidi.
Ni kuamua tu mwenyewe utaratibu unaoona ni mrahisi kwako ambao utaendana na bajeti yako. Ya nini kualikwa watu weeengi uingie gharama, aubya nini hadi ukafanyie ukumbini hata nyumbani panatosha.
Vipi akiwa ni mpentekoste ndio haruhusiwi kabisa kufunga ndoa na huyo mwanamke ama?Unasali kanisa gani? kwa sisi walokole hatunaga mambo ya kubariki ndoa yaan kama mmeshaishi au kuzini au kuzaa. Kama sio mpentekoste kuna kitu kinaitwa kubariki ndoa. Inakubaliwa. Cha kwanza nenda kwao binti ukatoe mahali then unamvika engagement siku ya mahali ( hii hata kama mmeshazaa), then ukimaliza mambo ya mahali nenda kanisa unalosali kwaajili ya process za kubariki ndoa.
Note: Anza kwenda kwao kwaajili ya kutoa mahali na kupewa fine za kumzalisha binti wa watu
Doh!! Imekula kwangu hii... na mimi nimemzalisha binti ila nahitaji kumuoa baadae na wote tumeokoka kwa maana hiyo sie ndoa ndio tusahau kabisa (lakini mchungaji wangu aliniambia haina shida)Hairuhusiwi kabisa. Ndio imetoka hivyo
Ni TAG mkuu, sikutengwa aiseeMhhhh kanisa gani hilo? mimi nachojua makanisa mengi ya pentekoste hamna kufunga ndoa, ila kama mlikua mnaishi hamjafunga ndoa hamjaokoka then mkaja kuokoka kuna utaratibu wa kupata cheti cha ndoa. Nadhani muulize mchungaji wako vizuri. Ulishamaliza kipindi cha kutengwa?
lengo la harusi ni nini wakati nyie ni wanandoa na mna mtoto tayariNapenda kuuliza jamani eti Utaratibu wa kumvalisha pete ya Uchumba mwanamke kama umezaa nae bila ndoa upoje??? Je lazima ndugu wawepo unapomvalisha au unawapa tu taarifa hasa wazazi kuwa nimepata mchumba na pete nishamvalisha bila wao kumuona physically na vip kuhusu kwenda kanisani maana me ni mkristo???
Pia vipi kuna uwezekano wa kufunga harusi kanisani wakati tuna mtoto tayari?? Nahitaji mwanga kidogo hasa wenye experience na hili suala zima.
Hairuhusiwi kabisa. Ndio imetoka hivyo