Msaada kuhusu pdf file

Msaada kuhusu pdf file

dory savoo

New Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Habar wana jf, mimi ni mdau mpya umu ndani naomba mnisaidie jinsi ya kubadil folder lenye vyet kwenda pdf ili nitume kwa emai folder zima. Msaada plis
 
Habar wana jf, mimi ni mdau mpya umu ndani naomba mnisaidie jinsi ya kubadil folder lenye vyet kwenda pdf ili nitume kwa emai folder zima. Msaada plis

Kama unataka kutuma file zima...li zip hilo file then ulitume as a compressed file
 
Habar wana jf, mimi ni mdau mpya umu ndani naomba mnisaidie jinsi ya kubadil folder lenye vyet kwenda pdf ili nitume kwa emai folder zima. Msaada plis
tumia nitro pro 8 , ni convetor nzuri sana
 
Nenda File, then save as..kabla hujaaave angalia hapo chini kuna mahali utaclick utapata options mojawapo ya option ni kusave as pdf, select pdf then save
 
Mwelezeni kwamba haiwezekani File kuwa pdf. Ila document mojamoja waweza ibadili kuwa pdf. Zipo njia nyingi za kufanya hivyo. Kama ni vyeti bila shaka umescan basi ulipaswa usave kama pdf. Na pia zipo converter nyingi tuu. Serch online.
 
Back
Top Bottom