Msaada kuhusu pd proxy

We utakuwa umetumwa, yaani unaropoka hadi jina la mtu unayemjibia? We siyo mwenzetu wewe, kwa anayemsaidia huyu bwana kutatua tatizo lake awe nae makini maana aidha hajui madhara ya kuropoka IPS au ametumwa.
 
Mkuu hivi unajua concept ya vpn?? Dial 100 halaf waaulize je wewe unachokifanya ni legal or not. Do some research broda.
thanx bro..,as i said i NEVER knew if this thing was legal or ilegal.,.NEVER knew..thanx mkuu..ndo maana tunatumia jamii forum kukutana na experts zaidi ...thanx lots broda
 
We utakuwa umetumwa, yaani unaropoka hadi jina la mtu unayemjibia? We siyo mwenzetu wewe, kwa anayemsaidia huyu bwana kutatua tatizo lake awe nae makini maana aidha hajui madhara ya kuropoka IPS au ametumwa.
kaka mbona kama unapanic sana.,.tulia tuelimishane.,wanaotumwa majini tu., kuwa expert kama thread ilivyowekwa kwenye kategory ya experts...it seems unaropoka sana.,. toa info na sio insults mkuu......
 
Teacher Wangu nine format laptop yangu inakuwaje najaribu kuconnect inakubali vizuri kwa setting zile zile ILS haibrowse msaada please
 
Teacher Wangu nine format laptop yangu inakuwaje najaribu kuconnect inakubali vizuri kwa setting zile zile ILS haibrowse msaada please

  • Nipigie kwa namba yangu 0768 92 48 41 nikuelekekeze nini cha kufanya
  • Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…