Msaada kuhusu pd proxy

jaman hiyo safari ndio imeishia hapa au inaendelea...mwl RTC upo wap?
 
yaaaani ndo wale wale.... you guys are really screwed up... yaaani unataja na ISP kabisa???? hebu acheni mambo ya kijinga.. GROW UPPPP!!!!!!
 
Mkuu kelele kama hizi ndiyo zimesababisha mianya yote kufungwa, no more free internet cos some guys couldn't shut their mouths. Sasa na wewe unataja kbs ISP...seriously!!! dont get confused,reality check....
 
yaaaani ndo wale wale.... you guys are really screwed up... yaaani unataja na ISP kabisa???? hebu acheni mambo ya kijinga.. GROW UPPPP!!!!!!

Not only growing up,wajifunze na taratibu za hii mambo,jamaa anaongea as if the thing is legal....!!! I'm so disappointed. Jamaa mmoja alikuwa anaanika ports,alipoambiwa aache akasema ni rahisi kupata nyingine,sasa hivi hata hatumuoni kutuletea hizo "nyingine" alizopata.
 
Wadua kama kuna altenative tujuzane si unajua tena bila Internet maisha yanakuwa magumu.....PD PROXY ndo imeshaaga tunafanyaje.tusaidiane wandugu
 
its actually legal to my understanding. Kama port ISP hawana unaenda kuwaomba wakupatie open port maana sometimes one needs a secure connection that the VPN can provide.
 
To all thoz who need new port...dial 100 for more help......,
 
Yani mnanitumia kabsa txt niwasaidie,kweli mmekwama...nnnhiyo kitu ndo basi ssa,poleni wote mliojiunga nayo ikiwa bado siku nyingi left,
 
yaaaani ndo wale wale.... you guys are really screwed up... yaaani unataja na ISP kabisa???? hebu acheni mambo ya kijinga.. GROW UPPPP!!!!!!
the one who needs to grow up is u broda.,.,hii kitu to my understanding nilijua ni legal.ts the matter of telling me to b kwayat ningeelewa., na to b honest ndo najua sasa kuwa ts elegal.,... for the long run nilijua ni cool.an ive been usin it for more than 11 month., but thanks for the update.,
 
its actually legal to my understanding. Kama port ISP hawana unaenda kuwaomba wakupatie open port maana sometimes one needs a secure connection that the VPN can provide.

So it becomes legal while using given ports with PD Proxy, right!!! Ports zimefungwa mkuu.
 
Mbona unamambo ya kitoto ww mnaouza pd proxy muwe mnaangalia watu wa kuwauzia wengine ni under18
 
Mkuu hivi unajua concept ya vpn?? Dial 100 halaf waaulize je wewe unachokifanya ni legal or not. Do some research broda.
 
So it becomes legal while using given ports with PD Proxy, right!!! Ports zimefungwa mkuu.

not only PD bro, its one's right to request for open ports to the ISP if he needs secure connection with these VPNs. Sina uhakika if some costs may be incurred or something ila ndo hivo. Ports open zipo, sema hujazijua 2![/b]
 
So long as we are using open ports to access free internet,it becomes illegal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…