Wakuu mimi hii simu Nokia XL 4G hata siielewi kabisa?
Maana file zote niki-download zinakaa kwenye phone memory na nimejaribu sana kuzihamishia kwenye SD CARD lakini zimekataa na hata ninapo-move file zinatoka kwenye internal memory na kwenda kwenye phone memory badala ya sd card, na pia tatizo jingine haina Google play na nikidownload inakataa kuinstall.
Kwa mtaalam anaweza kunisaidia