Msaada kuhusu neno " Mama sitta"

Msaada kuhusu neno " Mama sitta"

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,720
Reaction score
2,393
Wakuu, mwenye uelewa wa hili neno mama sitta, maana nimekuwa nilikisia kwenye nyimbo nyingi za kibongo... hata wimbo i
Ukiwa mgumu( sio wimbo wa ma-Love) utasikia neno mama sitta.

Au ndio Msemo wa kisasa (fashion), kwann wasiseme mama chausiku, waseme mama sitta tuu.

Msaada wenu, mnitoe ushamba.
 
Ni kifupi cha mama sita kwa sita.... Hasa godoro dodoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom