Msaada kuhusu Muslim university of morogoro

Msaada kuhusu Muslim university of morogoro

Kama ni mtu wa maadili ya dini nenda..kama siyo iakula kwako...
 
Kama wewe sio muslim sahau kupata nafasi

↑↑↑↑↑ Tafuta Nauli Uje Morogoro Nikuoneshe Wakristo Mmoja Baada Ya Mwengine Ndani ya MUM wanavyoshine Kwenye Mosomo Kuliko Hata Waislamu!!

Sio Vizuri Kutia ila Kitu Kwa Kusema Uongo Kwa Sababu Ya Chuki Zako Binafsi Maisha Hayako Hivyo bro!!

Nafasi na Ufaulu Wa MUM hautegemei Dini, Bali Ni uwezo Wako Wa Kujituma tu


Kama ni mtu wa maadili ya dini nenda..kama siyo iakula kwako...

Na wewe ↑↑↑↑↑ Prove Kwa Ushahidi Hicho UnachoClaim Coz Wapo ATHEISTS wengi Wasiofungamana Na Dini Wamegraduate Pale MUM na Kupata Class Nzuri tu

Hamna kitu kinachonichukiza kama udini

↑↑↑↑↑ Hebu Nipe Definition Sahihi Ya Neno Udini ili Tupate Pa Kuanzia!
 
Back
Top Bottom