Msaada kuhusu Muslim university of morogoro

Msaada kuhusu Muslim university of morogoro

Beroscar

Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
28
Reaction score
11
Wanajf hiki chuo kipo vizuri? Kwa ambaye anakifaham vizur anisaidie tafadhali
 
Kipo vizuri ndio sababu kimeidhinishwa na TCU,
Labda kama una vigezo vyako vya Uzuri uvitaje ili tujue kama kwa vigezo vyako ni kizuri au laa!
 
Lakn nilitaka nifahamishwe kama kipo vizur kwenye ufundishaji na mazingiza
 
Ni majiran zng hapa moro twn
Ila nasikia hakipo under TCU unaweza omba physically
Hakuna taasisi yoyote inayotoa elimu ya juu isiyokuwa chini ya TCU. Tofauti ya MUM na vyuo vingine ni utaratibu wa kudahili; unaomba moja kwa moja chuoni kisha udahili unahusisha TCU.


Kuhusu ubora wa taaluma inayotolewa huko sina shaka nayo. Wahitimu wao tunawahitaji sana katika mashirika yetu. Wanajiamini, wanaweza ndiyo maana wapo hadi katika ofisi kubwa za Serikali.
 
Nenda Mkuu ila nichuo ambacho kinafata misingi na itikadi ya dini ya kiislam
ukiwa pale chuon utadhani wanawake wanavaa uniform mana wengi wao kama sio wote wamevaa mabaibui meusi tiiii unaona vimacho

taaluma naamini wako vizur sababu kuna wengine tunafanya nao kazi
 
Back
Top Bottom