Msaada kuhusu mtoto wa namna hii

Msaada kuhusu mtoto wa namna hii

Pole Sana..muombee huyo mtoto na jitahidi uvunje maagano yaliyotengenezwa tangu akiwa tumboni mwa mama yake..kuwa nae karibu na usichoke kumuweka sawa..naamini kila kitu kitakuwa sawa.
 
Mkuu hamna tatizo hapo,ni kwamba huyo mtoto hajawahi kuwa disciplined.

Akikojoa au kujisaidia kwenye makochi, hapo hapo mkanye kwa ukali au tufimbo tuwili kumuonyesha sio kitendo kizuri, usisubiri mude upite,hapo hapo akifanya tu, na wewe u act on the spot,Atarudia mara mbili tatu mpe adhabu hio hio kila siku atajifunza akifanya kitu hiki, kinachofuata ni hiki..slowly atajifunza, but you need to be consistent.

Hio ya kufanya kitu unamchokataza ni anaku challenge,akifanya jambo ulilomkataza , be firm and consistent,muonyeshe kwa vitendo/weka userious wakati unaongea nae,tone yako iwe ya ukali kidogo pale anapokaidi, ila pia mpe zawadi au muonyeshe umefurahishwa pale anapotii au kufanya jambo zuri.......................

Anyway i just think anahitaji potty training and a little bit of attention
 
Mbona watoto wa miaka 2-3 hizo ndio zao mkuu? Sijaona cha ajabu hapo. Fuata ushauri wa wataalamu hapo juu.
 
Mbona watoto wa miaka 2-3 hizo ndio zao mkuu? Sijaona cha ajabu hapo. Fuata ushauri wa wataalamu hapo juu.
Ofcoz miaka miwili bado hajajitambua vizuri...!! Kukojoa kwenye makochi suala la kawaidaa sanaa yani na Utundu usiseme ingekuwa mtoto wa miaka mitano au minne sawaa.. Kwa umri huu kitu anaweza elelwa ni kuambiwa achaaa
 
Hahahaha, mboko kwa tabia hii atakuwa kama ngoma ya kaya
Hapa ndo ujinga wako ulipo. Kwa mfano swala la kujisaidia popote, fanya hivi, akisaidia kitandani, mtoe kamsafishe kisha mpeleke sehemu inayuhusika mfano kwenye pot mpe stiki za kutosha, akirudia kesho yake mpe tena za kutosha uku ukimwelekeza sehemu usika. Mkimaliza week 2 kwa mwendo huu njoo unipe mrejesho.

Tibu tabia moja baada ya nyingine
 
Mkuu nimesomea saikolojia ya watoto kuna njia nyingi unaweza muwin mtoto.....kitu cha kukumbuka mtoto humsikiliza yule anaempenda, so jitahidi ujenge mazoea mtoto akupende na usipokuwepo akumiss na kukutaja kabisa

kuna njia nyingi unazoweza kutumia akakupenda tumia zawadi ndogondogo juice,pipi na vingine vitam unanunua unakaa nae chini anakula ukiwepo,.... pili kucheza nae me watoto nikikaa nao dakika 10 nyingi ataanza cheka na kunirukia rukia na kuomba tucheze (kukimbizana wanapenda sana au kumuonesha picha za vitu au kumchekesha)....

pia usiwe mkali sana na penda kuongea nae kwa wewe kukaa kwenye kiti au kuchuchumaa muwe sawa, unamuambia alafu unarudia kile kitu yeye akujibu, mfano unamwambia sio tabia nzuri kujisaidia kitandani watu hujisaidia chooni, umenielewa? Atasema ndiyo, unamwambia watu hujisaidia wapi? Atasema chooni....

Jitahidi usiongee nae ukiwa umesimama kaa chini au chuchumaa, onesha kumpenda angalia nae cartoon kwenye simu,mpe zawadi, mhug na kumwambia asante akukupa kitu,

Kwa watoto wadogo kuwa mkali haisaidii hata kidogo tumia njia ya upole na kujali atakuwa vizuri sana as time inasogea, pia maombi muhimu Mungu ampe mtoto utulivu ili urahisishe kujifunza hata akiwa shuleni.....
Hizi psychology za kwenye vitabu so za watoto wa kiafirika
 
Halafu mtoto ukimlea hivyo hata akifanya kosa anajua kuwa amefanya kosa.
Anakuwa mpole na kama kajua kusema nisamehe anasema.
Hata kile kitu ambacho hapendi kufanya kama kunywa dawa anajiongelesha "mama nikimaliza nakunywa dawa".
Jinsi anavyoact hata kumchapa unashindwa maana unajua keshatambua amekosa.
 
Hapa ndo ujinga wako ulipo. Kwa mfano swala la kujisaidia popote, fanya hivi, akisaidia kitandani, mtoe kamsafishe kisha mpeleke sehemu inayuhusika mfano kwenye pot mpe stiki za kutosha, akirudia kesho yake mpe tena za kutosha uku ukimwelekeza sehemu usika. Mkimaliza week 2 kwa mwendo huu njoo unipe mrejesho.

Tibu tabia moja baada ya nyingine
Hahahahah. Ahsante
 
LEA MTOTO ACHA KUMNYANYAPAA, ANGEKUWA WA KWAKO WA KUMZAA MWENYEWE UNGESEMA YOTE HAYO!!???
 
Miaka mitatu iliyopita, Mdogo wangu alimpachika mimba binti mmoja hivi.

Baada ya ile mimba kuingia, waliingia katika mgogoro Mkubwa Sana. Mgogoro wenyewe ulihusu kutokubaliana juu ya kuitoa au kutoitoa. Dago akitaka itoke na mdada akipinga jambo hilo. Baada ya kutofikia muafaka dogo alikata mawasiliano na jambo hilo lilikuwa lao peke yao. Mimba ilivyofikia miezi minne, binti aligundulika kwao kuwa ana ujauzito, na akafukuzwa kwao, ndipo alipofanya jitihada za kumtafuta tena dogo na wakakubaliana wakaitoe tu.

Kweli wakafanikiwa kukubaliana kwenda kuitoa ile mimba hospitalini. Walipofika hosipital Dr. akamfanyia vipimo mdada na baada ya kumfanyia vipimo akawaambia mtoto hana tatizo lolote tumboni hivyo nafsi yake imesita kufanya mauaji

Akawashauri Sana (kwa mujibu wa Mdogo wangu) akajitolea hadi kutoa msaada katika malezi ya ile mimba pale watakapohitaji msaada wake, baada ya kuwa wamempa Maelezo kwamba wanafanya hivo kutokana na kukosa uwezo wa kulea mimba hiyo, na baadae kumudu gharama za malezi na makuzi ya mtoto. Mbele ya Dkt. Wakaafikiana kutoitoa.

To cut the story short, mtoto alipozaliwa shemeji alikuwa anakaa kwa shangazi yetu. Mtoto alivyofikisha miezi mitatu yule binti alirudi kwao na mtoto. Amekaa huko, na mtoto hadi mwaka jana, mama ake akatoa taarifa kuwa anataka kurudi shule hivyo dogo achukue mtoto wake.

Baada ya kusikia Maelezo hayo, niliamua kujitolea kumchukua huyo mtoto. Mpka saiv nakaa naye lakini, visa Sasa;
1. Jambo unalomkataza ndo anafanya.
2. Akisema sitaki ana maanisha.
3. Anaweza kutaka kujisaidia akatoka na kwenda kujisaidia kitandani au kwenye makochi sebuleni mchana kweupe.
4. Niliamua kumpeleka baby school akacheze na wenzake, lakini anawang'ata wenzake balaa na kukojoa au kujisaidia Darasani kwa makusudi.
5. Kuna wakati anatishia nitachukua jiwe nivunje TV!

Visa ni vingi wadau. Kuna wakati nashindwa kuelewa kama kweli mtoto ni wetu, lakini kuna vitu tunafanana nae. Baba yake bado hajasettle kuweza kumhudumia.

@mshanajr na wengine! Ishu hapa ni nn? Na nimfanyej! Kule ukweni ndo hawatoi ushirikiano kabisaa!

Nawasilisha kwa ushauri.
Ana umri gani kwa sasa?
Hana tatizo lolote. Mpeleke kwanza kwa watumishi wa Mungu wakamwangalie, na wakatamke neno la baraka juu yake
Baada ya hapo mpeleke shule iliyo na afflitaion na mambo ya Mungu
Brain yako wewe hapo ulipo na umri huo ulionao haitakiwi kabisa kuwa stressed na mtoto wa umri huo, haina qualifications za namna hiyo. Ukiona anakuwa stress kwako, ujue kuna mahli wewe unakosa fikra sahihi juu ya mtoto huyo, unakuwa huutumii ubongo wako kama unavyostahili kuutumia. Zingatia maelezo hayo halafu utaona huko mbele Mungu atakavyokuja kukubariki pamoja na mtoto wako huyo!
Huyo mtoto mpaka muda huu hana tatizo, tatizo ni wewe
 
Back
Top Bottom