sawa fuata ulivyoelekezwa.Kwn itakuwa tofauti na wngne,kama tunaenda kwenye paper huwa vyeti sio lzma. Maana ata ukienda umevaaa boxer wawooooo wanakuruhusu ufanye paper Lao.
Hahahahahhahaha. Umetishaaa kaka.power bank huwa zinahusika kumbee.ndo maana me huwa naferi kumbe zinatkiwa.VYETI NA VITAMBULISHO PIA.IKIBIDI WEKA NA PASSPORT SIZE NNE USISAHAU NA POWER BANK YA ASILI AKA HIRIZI
jaribuHahahahahahahahaha. Kwan watakitambua
Piga namba hizo,kuwa makini na utapeli. Umepewa email au sms?Ndugu ******, MSD inakukaribisha kwenye usahili kwa nafasi uliyoomba ya Warehouse Assistant itakayofanyika siku ya Jumanne tarehe 13/6/17 saa 3:00 asubuhi shule ya Sekondari Chang'ombe ndani ya DUCE, Dar es Salaam. Tafadhali fika na kitambulisho chako. Gharama za usafiri hazitarudishwa.
Kwa maelezo zaidi piga 255 22 2860890/7
"Je kuna haja ya kwenda na vyeti au kitambulisho chochote too"
Yan hawa jamaa mpakabwakutumie sms mbona me sija tumiwaKwn itakuwa tofauti na wngne,kama tunaenda kwenye paper huwa vyeti sio lzma. Maana ata ukienda umevaaa boxer wawooooo wanakuruhusu ufanye paper Lao.
Yan hawa jamaa mpaka wakutumie sms mbona me sija tumiwa
Mkuu unapopata opportunity za namna hiyo, jitahidi sana usiwe mtu wa kulaumiwa ( i mean usijaribu kutengeneza any loop hole) Kama unao uwezo wa kubeba vyeti kwanini usibebe tu? Kwenye mitihani ulibeba Penseli na hapakuwa na mchoro, kwan kunashida hapo; Kama ni mkristo Basi Kumbuka Vaeni Silaha zote.Kwn itakuwa tofauti na wngne,kama tunaenda kwenye paper huwa vyeti sio lzma. Maana ata ukienda umevaaa boxer wawooooo wanakuruhusu ufanye paper Lao
P0a.kaka ntafanya ivoMkuu unapopata opportunity za namna hiyo, jitahidi sana usiwe mtu wa kulaumiwa ( i mean usijaribu kutengeneza any loop hole) Kama unao uwezo wa kubeba vyeti kwanini usibebe tu? Kwenye mitihani ulibeba Penseli na hapakuwa na mchoro, kwan kunashida hapo; Kama ni mkristo Basi Kumbuka Vaeni Silaha zote.