Msaada kuhusu MOFCOM scholarship 2019

Msaada kuhusu MOFCOM scholarship 2019

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
473
Reaction score
1,185
Niliona tangazo la mofcom scholarship 2019 na vigezo vyao ilikuwa haioneshi kama ni mpaka uwe mtumishi uliyeajiliwa na serikali.

Nimefanya application online na kuprint hardcopy ili kupeleka ubalozi mdogo wa china uliopo maeneo ya msasani Rd, osterbay (Economic and commercial) kwani application ya hii scholarship inakuhitaji kupeleka harcopy uko economic and commercial office baada ya kumaliza online application.

Nimefika kule ubalozi mdogo nikakutana na mlinzi akanigomea kuingia na akanambia hii scholarship ni kwa walioajiliwa na serikali kwa zaidi ya miaka miwili. Lakin tangazo linasema hii scholarship ni for young and middle age talented students na wala hayo ya kuajiliwa na serikali hayapo kwa mujibu wa tangazo.

Msaada jamani kwa anayejua zaidi hii Mofcom scholarship ni kweli kwa waajiliwa wa serikali?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama mlinzi amekugomea na unataka iwafikie walengwa, tuma kwa posts. It will cost you less than 1000 na kelele za officer wa ulinzi
 
Niliona tangazo la mofcom scholarship 2019 na vigezo vyao ilikuwa haioneshi kama ni mpaka uwe mtumishi uliyeajiliwa na serikali.

Nimefanya application online na kuprint hardcopy ili kupeleka ubalozi mdogo wa china uliopo maeneo ya msasani Rd, osterbay (Economic and commercial) kwani application ya hii scholarship inakuhitaji kupeleka harcopy uko economic and commercial office baada ya kumaliza online application.

Nimefika kule ubalozi mdogo nikakutana na mlinzi akanigomea kuingia na akanambia hii scholarship ni kwa walioajiliwa na serikali kwa zaidi ya miaka miwili. Lakin tangazo linasema hii scholarship ni for young and middle age talented students na wala hayo ya kuajiliwa na serikali hayapo kwa mujibu wa tangazo.

Msaada jamani kwa anayejua zaidi hii Mofcom scholarship ni kweli kwa waajiliwa wa serikali?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli miaka ya nyuma Mofcom ilikuwa ni kwa ajili ya watumishi pekee. Ila mwaka huu 2019 sijajua vigezo ( applicant criteria ). Kwa China program ya Chinese government scholarship ndo haibagui waombaji.
Tuma hilo tangazo tuone kama unalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hawasajema mwombaji awe ameajiriwa na uzoefu kwenye utumishi. Kwani uliomba "Chinese government scholarship" ? ambayo deadline ilikuwa 11 April.

Csc scholarship zipo nyingi ipi hyo ambayo deadline ni 11 April?...maana ile type A deadline ishapita ila za type B bado zinaendelea na nyingne zimevuka nyingi zinakomea 30 April

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Csc scholarship zipo nyingi ipi hyo ambayo deadline ni 11 April?...maana ile type A deadline ishapita ila za type B bado zinaendelea na nyingne zimevuka nyingi zinakomea 30 April

Sent from my iPhone using JamiiForums
Namaanisha Chinese government scholarship ilikuwa category A ambayo baada ya kuaply online walituma Wizara ya Elimu.

Hao Mofcom sijaona kama barua ya mwajiri inahitajika kwenye tangazo lao ulilotuma. Wanahitaji uthibitisho gani kuprove kama ni mtumishi au sio mtumishi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namaanisha Chinese government scholarship ilikuwa category A ambayo baada ya kuaply online walituma Wizara ya Elimu.

Hao Mofcom sijaona kama barua ya mwajiri inahitajika kwenye tangazo lao ulilotuma. Wanahitaji uthibitisho gani kuprove kama ni mtumishi au sio mtumishi ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo hapo kaka palipo nichanganya mimi mpaka kuuliza hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani wamesema uwapelekee ofisini kwao au hata kwa njia ya posta inawezekana

Love and peace
 
Niliona tangazo la mofcom scholarship 2019 na vigezo vyao ilikuwa haioneshi kama ni mpaka uwe mtumishi uliyeajiliwa na serikali.

Nimefanya application online na kuprint hardcopy ili kupeleka ubalozi mdogo wa china uliopo maeneo ya msasani Rd, osterbay (Economic and commercial) kwani application ya hii scholarship inakuhitaji kupeleka harcopy uko economic and commercial office baada ya kumaliza online application.

Nimefika kule ubalozi mdogo nikakutana na mlinzi akanigomea kuingia na akanambia hii scholarship ni kwa walioajiliwa na serikali kwa zaidi ya miaka miwili. Lakin tangazo linasema hii scholarship ni for young and middle age talented students na wala hayo ya kuajiliwa na serikali hayapo kwa mujibu wa tangazo.

Msaada jamani kwa anayejua zaidi hii Mofcom scholarship ni kweli kwa waajiliwa wa serikali?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu na mimi nilikumbana na hili sekeseke, wale walinzi walinigomea kabisa kuingia ndani lkn baada ya kukomaa waliniitia dada mmoja anaitwa Linda na akatoka nje nikaongea nae. Dada yule akaniambia kwamba MOFCOM scholaship hazijatangawa bado ila kama uliapply basi zitakua ni Chinese Scholarship zingine lkn sio MOFCOM scholaship japo system ya kufanya application ni ileile kinachotofautisha ni ile agency number na pia unatakiwa upeleke Wizara ya Elimu. MoFCOM scholarship unapeleka Utumishi....according to huyo Dada.

Nikachanganyikiwa palepale maana nilijaza agency numbeer ya MOFCOM halafu nikapeleka wizara ya elimu badala ya Utumishi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Du pole sana ndugu.
 
Back
Top Bottom