Tripp
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 912
- 1,572
Mimi nina ndugu yangu alifaulu na akapata chuo awamu ya kwanza ila baada ya kutuma maombi ya mkopo kumbe jina lake lilikuwepo katika waliokosea ila alipuuza ama kutojua na sasa amekuja jua juzi kuwa alitakiwa rekebisha fomu kuna namna gani hapo ya kumsaidia akuweka sahihi tu