Ni tabora mjini Mkuukwanza inabidi ueleze unaenda sehemu(specific) , je ni tabora mjini, Urambo,nzega, igunga, sikonge au kaliua?? maana hzo sehemu zote ni tabora na zinatofautiana sifa na mazingira. baada ya hapo utaweza kuelezwa yote
Tabora kuna chuo cha uhaziri, pia SAUT kipo ila uhaziri ndiyo specialists na kimbilio la wakosefu wengi. Kwa kifupi ni ma makuku ya kizungu.Ni tabora mjini Mkuu
Soma tena post yangu kuna kitu nimekiongezaMkuu mbona umeniacha gizani? ?
Duuh sawa Mkuu. ..nitakuwa makiniTabora fata tu kilichokupeleka.... Ukimwi na typhoid vinasumbua.... Na zaid usizoee mabint wa kinyamwez ukizan utawatumia tu usepe hakuna utang'ang'aniwa kiasi cha kusahau kwenu.... Ushirikina ni kipaumbele mkoa ule....
Ila ni wakalimu sana kama ndugu zao wasukuma......... Kuna chuo cha uhaziri pale tutaita ni zizi la mifugo ya kila sampuli zaidi changanya na zako..... Kila lakheri
Mnada Jumamosi pale Ipuli...Tabora kuna chuo cha uhaziri, pia SAUT kipo ila uhaziri ndiyo specialists na kimbilio la wakosefu wengi. Kwa kifupi ni ma makuku ya kizungu.
Pia Tabora kuna Abuja, pale Polisi officers mesi. Pia kuna mnada Jumamosi.
Kingine ukiishi Tabora huna choice zaidi ya kuwa malay.a au cha pombe.
Mnada ni GULIOMnaniacha njia panda wakuu "mnada" mi sielewi