Msaada kuhusu mkataba wa kazi

Msaada kuhusu mkataba wa kazi

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,992
Reaction score
12,036
Mambo viip,

Jamani hivi kwenye contract ukiambiwa "you shall be paid in arrears" Inamaanisha nn
 
Nahisi mshahara utakua unachelewa kutoka...

Late payment.
Not sure.
 
Wataka maana?

"Utalipwa kwa malimbikizo",

Labda hapo ulitakiwa kuwa kuhoji baada ya mda gani? isijekua 2 month in arrears.

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Ondoa shaka mkuu maana yake ni hii:

Utakuwa unafanya kazi hadi mwishoni mwa mwezi say 30 days ndio unalipwa salary na si kinyume chke mfano ukiripoti mara ya kwanza kazini sept, 1 mwaka 2014 utaanza kulipwa mwisho wa september. Hii ni kuepuka kusema you will be paid in advance yaani ulipwe kabla ya kufanya kazi bt ufanye kazi na waondoe cku ambazo ukuhudhuria kisha ndo ulipwe iyo ndo essence ya hiyo clause mkuu.
 
wakuu msaada, natuma ile online form ya TRA lakini inagoma inaniambia nijaze "vacancy" wakati sehemu ya vacancy haina kitu so nimeshindwa nifanyeje wakuu naombeni msaada...
 
Ondoa shaka mkuu maana yake ni hii:

Utakuwa unafanya kazi hadi mwishoni mwa mwezi say 30 days ndio unalipwa salary na si kinyume chke mfano ukiripoti mara ya kwanza kazini sept, 1 mwaka 2014 utaanza kulipwa mwisho wa september. Hii ni kuepuka kusema you will be paid in advance yaani ulipwe kabla ya kufanya kazi bt ufanye kazi na waondoe cku ambazo ukuhudhuria kisha ndo ulipwe iyo ndo essence ya hiyo clause mkuu.

Thanks nimetafuta kwenye kamusi hicho 'kibomba' arrears wakasema ni kiporo basi nikasalia na maswali tu! Asante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom