pambana mdogo wangu judith wambura..Kweli kila kitu n kamali acha tucheze tena hizi kamali
Si Tamisemi tu, hata secretariate ya ajira za umma ni uozo mtupu licha ya kuvunjwa na kuundwa upya. Ni maumivu kwa wazazi na vijana wanao hangaishwa kulipia nauli kwenda usaili ambao tayari unajua uwezo wa kupita ni hakuna. Hakuna shortlisting. Usishangae wanaitisha watu 6000 kwa nafasi 1.Habari za siku nyingI wana jf?
Poleni sana na kazi.
Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika.
*Hivi mfumo unachaguaje watu?
*Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na watu wangapi?
*Je hao watu ni watu wanaojulikana au la? Vipi kuhusu uaminifu wao katika kuingilia huo mfumo ili kuingiza watu wao?
*Je n mfumo unafanya kazi tangia mwanzo hadi mwisho bila kuhusisha manual work?
Aliye na uelewa na huu mfumo wa TAMISEMI anitoe kibanzi tafadhari. Maelezo ya DM napokea pia.
Asante
Kamali ni probability, ajira Tanzania interview ni geresha, tayari kuna wateule.Kweli kila kitu n kamali acha tucheze tena hizi kamali
Inahuzunisha kwa kweli, tena kwenye huu utawala ambao watu wanajipakulia vinono tu sisi akina UPIYILE NDAGYA FIJO ajira tutazisikia tuSi Tamisemi tu, hata secretariate ya ajira za umma ni uozo mtupu licha ya kuvunjwa na kuundwa upya. Ni maumivu kwa wazazi na vijana wanao hangaishwa kulipia nauli kwenda usaili ambao tayari unajua uwezo wa kupita ni hakuna. Hakuna shortlisting. Usishangae wanaitisha watu 6000 kwa nafasi 1.