Bonyeza kwanza hicho kitufe cha blue kisha ingiza umeme natumaini kabisa hizo button zitafanya kaziMeter yangu ni ya zaman inakitufe cha blue pale juu na namba zake kama za smartphone.
ulipata umeme?Nimejaribu inagoma mkuu
Huja bonyeza ki usahihi hicho kitufeNimejaribu inagoma mkuu
Hili tatizo nalipataga pia. Ikifika saa moja jioni mpaka kumi na mbili asubuhi umeme unagoma kuingia. Yani zile namba zote huwa zinagoma kabisa na huwa tunalala na giza. Mayb Tanesco watoe ufafanuziHabari! Samahan naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa meter ya luku nimejaribu kuweka umeme nabonyeza namba hazifanyi kazi. Msaada tafadhali nifanyaje nisilale giza.
Pole kiongoziHili tatizo nalipataga pia. Ikifika saa moja jioni mpaka kumi na mbili asubuhi umeme unagoma kuingia. Yani zile namba zote huwa zinagoma kabisa na huwa tunalala na giza. Mayb Tanesco watoe ufafanuzi
Anasema umeme uwa unagoma kuingia sio kama umeme unakatika ikifika muda huoPole kiongozi
Ila nenda ofisi ya tanesco iloyo karibu nawe waambie wakubadilishie phase/line hapo pana low voltege
Ifikapo jioni
Anasema umeme uwa unagoma kuingia sio kama umeme unakatika ikifika muda huoPole kiongozi
Ila nenda ofisi ya tanesco iloyo karibu nawe waambie wakubadilishie phase/line hapo pana low voltege
Ifikapo jioni
Hiyo meter ni ya aina gani mkuu yaan jina lake mfano Actaris,Edmi au starHabari! Samahan naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa meter ya luku nimejaribu kuweka umeme nabonyeza namba hazifanyi kazi. Msaada tafadhali nifanyaje nisilale giza.
Hili tatizo nalipataga pia. Ikifika saa moja jioni mpaka kumi na mbili asubuhi umeme unagoma kuingia. Yani zile namba zote huwa zinagoma kabisa na huwa tunalala na giza. Mayb Tanesco watoe ufafanuzi
MaHuja bonyeza ki usahihi hicho kitufe
Maafisa wa Tanesco wanafatilia hii thread nimeona Vishoka wengi!Hebu anza ivi kwa kubonyeza 00 harafu meter number halafu 00 Then Ok baada ya hapo ingiza hizo TOKEN zako
hiyo meter ni kama yangu tuMeter yangu ni ya zaman inakitufe cha blue pale juu na namba zake kama za smartphone.