Shukuru kuchaguliwa kuchukua hiyo fani ya uhandisi.
Kwanza hongera kwa kufanya vizuri somo la hisabati na fizikia
Pili, kuelekea nchi ya viwanda, ufikapo chuo, zingatia ubunifu, usaidie kubadilisha kazi za mikono kwenda kwa kutumia mashine km kutwanga.